Pre GE2025 Arusha: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Pre GE2025 Arusha: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

MBUNGE WA ARUMERU MAGHARIBI - Noah Lemburis Saputi Mollel

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Elimu:

Shule ya Msingi Olturumet (1986)
CSEE, Shule ya Sekondari Ilboru (2012)
Cheti cha Sheria, Chuo Kikuu cha Mount Meru (2016)
Diploma ya Sheria, Chuo Kikuu cha Mount Meru (2017)
Shahada ya Sheria (LLB), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (2019)
Mafunzo ya Serikali za Mitaa, Hombolo (2018)

Historia ya Kisiasa:

Diwani wa Tanzania Labour Party (TLP) (2005–2015)
Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) (2015–2020)
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

Michango Bungeni:

Maswali 69
Michango 22

2. MBUNGE WA MONDULI - Fredrick Edward Lowassa

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Elimu:

Shule ya Msingi Muhimbili (1989–1996)
CSEE, Shule ya Sekondari Ilboru (2000)
Shahada ya Uhandisi wa Elektroniki na Programu za Kompyuta, Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza (2003)

Rekodi ya Kura:

Kura 72,502 (2020) dhidi ya mpinzani wa CHADEMA (4,637)

Michango Bungeni:

Maswali mawili pekee kufikia 2024

Kamati za Bunge:

Infrastructure Development Committee (2021–2023)

3. MBUNGE WA LONGIDO - Kiruswa Steven Lemomo

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Elimu:

Shule ya Msingi Engarenaibor (1972–1979)
Arusha Catholic Seminary (Kidato cha Nne na Sita, 1986)
Shahada ya Kwanza, Maendeleo ya Jamii na Utawala wa Biashara, Chuo Kikuu cha Daystar, Nairobi (1996)
Shahada ya Umahiri (MA), Mawasiliano ya Shirika na Maendeleo, Regent University, Marekani (2000)
Shahada ya Uzamivu (PhD), Mawasiliano ya Kimataifa na Tamaduni (2004)

Nyadhifa:

Mjumbe wa Kamati za Siasa za Wilaya (2017–2021)
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Mkoa (2018–2021)

Kamati za Bunge:

Kamati ya UKIMWI (2021–2023)
Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji (2021–2023)
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii (2018–2020)

Nafasi ya Kiserikali:

Naibu Waziri wa Nishati na Madini

4. MBUNGE WA KARATU - Daniel Awack Tlemai

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Elimu:

Shule ya Msingi Qarru (1985–1991)

Rekodi ya Kisiasa:

Mbunge wa kwanza wa CCM kushinda jimbo hilo baada ya miaka 25 ya upinzani

Michango Bungeni:

Maswali ya msingi 10

Maswali ya nyongeza 26

Michango 10 muhimu

5. MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI - Dkt. John Danielson Pallangyo

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Elimu:

Shule ya Msingi Akheri (1963–1964)
Shule ya Msingi Mavunini (1965–1966)
Shule ya Msingi Singisi (1969)
CSEE, Shule ya Sekondari Ilboru (1973)
ACSEE, Shule ya Sekondari Pugu (1975)
Shahada ya Kwanza, Bima na Usimamizi wa Hatari, Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (1978–1981)
Shahada ya Uzamivu (PhD), Maendeleo ya Biashara na Ujasiriamali (2017)

Kazi:

Meneja wa NIC (1981)
Meneja wa Usafirishaji na Bima, Arusha Trading Company (1983–1990)
Mkurugenzi Mtendaji wa Intertrade Express Limited (1987–2019)

Michango Bungeni:

Maswali 91
Michango 30

Mizizi ya CCM:

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Mkoa na Kamati ya Utendaji (2012–2019)

6. MBUNGE WA NGORONGORO - Emmanuel Ole Shangai

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Safari ya Ubunge:

Aliapishwa Februari 1, 2022, baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge William Tate Ole Nasha

Matukio Baada ya Ubunge:

Sherehe ya kujiapisha kuwa Laigwanan Machi 2022
Kukamatwa na kuhojiwa kwa tukio la kushambuliwa waandishi wa habari (2023)
 
Hapa ndio tunaona umuhumu wa Demokrasia...

Demokrasia sio lazima Katiba mpya, ni ustaarabu tu wa jamii husika .

Kuna wabunge hapo hawajawahi uliza swali lolote na bado wanataka warudi tena bungeni..

Miaka mitano hakuna swali wala harakati za kusaidia wananchi wako ndani ya bunge?

Mnadharau sana wananchi wenu..
 
Mrisho Gambo mbona hujamweka?
 
Back
Top Bottom