Ukiona ITV wako mubashara ujue zama zimebadilikaImegongana na ratiba ya Chama pendwa kule Dodoma tatizo
Wako dodomyaITV wanaonyesha Arusha au Dodoma?
Unapendekeza livunjwe kwa sababu Kenya imechagua wabunge kwa kujuana au kwa sababu halina umuhimu?Japo kwa jinsi walivyoteuliwa wa huku kwetu, ni wazi hilo bunge limejaa wasanii na upumbavu na sitegemei chochote huko bora livunjwe, anyway sijui na nchi zingine ila waliotoka huku kwetu ilikua utapeli wa kifamilia na kujuana, pumba tu.
Unapendekeza livunjwe kwa sababu Kenya imechagua wabunge kwa kujuana au kwa sababu halina umuhimu?
Poleni sana aisee tatizo lenu wakenya ni ukabila.......tunawaombeeni hilo swala mungu asaidie liweze kuisha na kupotea kabisa hapo nchini kwenuJapo kwa jinsi walivyoteuliwa wa huku kwetu, ni wazi hilo bunge limejaa wasanii na upumbavu na sitegemei chochote huko bora livunjwe, anyway sijui na nchi zingine ila waliotoka huku kwetu ilikua utapeli wa kifamilia na kujuana, pumba tu.
Suala la uchaguzi wa wabunge wa EALA kwa hapa Tanzania lilifanyika mda mrefu, Tumeongea sana, kukosoa na kutoa maoni yetu! Utakumbuka Kenya mlichelewa kufanya uchaguzi huu nadhani kwa sababu ya uchaguzi mkuu! Sasa ukisema kuwa hatuna utaratibu wa kuhoji unajilisha upepo bure maana ziko nyuzi nyingi sana humu (sio jukwaa hili) zenye maoni mbali mbali juu ya mchakato huo.Ndio maana nikasema sijui huko kwenye nchi zingine, maana kama na huko ni madudu ya kihivi, bora livunjwe na kuundwa upya wakizingatia utaratibu mpya. Pawe na katiba ya Afrika Mashariki ambayo itatoa taratibu za vipi wabunge watateuliwa ili kuhakikisha wanaokwenda huko hawaendi kushangaa shangaa.
Kwa kifupi sijui figisu za nchi zingine, sijui kama nyie labda CCM imewaghubika hivyo huwa hata hamuhoji ni yupi anatumwa kule.