DOKEZO Arusha hakuna umeme tangu asubuhi, wenye dhamana jitafakarini

DOKEZO Arusha hakuna umeme tangu asubuhi, wenye dhamana jitafakarini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Semahengere

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,186
Reaction score
1,966
Habari wadau! Hivi kweli nchi inayopigia kelele kukuza utalii iko gizani Kwa kiwango hiki

Jiji la Arusha tangu asubuhi Hakuna umeme hadi sasa hivi. Jitafakarini enyi wenye dhamana
 
Habari wadau! Hivi kweli nchi inayopigia kelele kukuza utalii iko gizani Kwa kiwango hiki

Jiji la Arusha tangu asubuhi Hakuna umeme hadi sasa hivi. Jitafakarini enyi wenye dhamana
uchaguzi ukifika mtapewa Tshirt, Kanga na Kofia mtasahau
 
Mkuu tangazo lilitolewa na TANESCO kupitia ITV kuwa Leo J2 kitakuwa hakuna umeme mkoa wa Arusha ili kupisha matengenezo.
 
Ondoa hofu #TupoKazini
20240114_210918.jpg
 
Habari wadau! Hivi kweli nchi inayopigia kelele kukuza utalii iko gizani Kwa kiwango hiki

Jiji la Arusha tangu asubuhi Hakuna umeme hadi sasa hivi. Jitafakarini enyi wenye dhamana
Kwani watalii kutembea wanatumia umeme ? Au magari ya tours siku hizi ni ya TESLA ?
Halafu wenye dhamana wajitafakari kwa sababu ya ARUSHA kukosa umeme tu ? Tanzania ni kubwa kuliko Arusha. Be smart. Au tumfufue dangote miwe na adabu ?
 
Mkuu kuna tatizo la umeme lililotokana na kazi ya kutest umeme wa line mpya ya 400kv mradi wa kutoka Arusha mpaka namanga Kenya ambapo mafundi walikuwa wakitest substation ya Kisongo ...
 
Mji wa Kitalii huu umeme haukatwi hivyo,shikamoo Dollars
 
Arusha ya jiji sisi wa maji ya chai umeme haujakatika
 
Back
Top Bottom