Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
uchaguzi ukifika mtapewa Tshirt, Kanga na Kofia mtasahauHabari wadau! Hivi kweli nchi inayopigia kelele kukuza utalii iko gizani Kwa kiwango hiki
Jiji la Arusha tangu asubuhi Hakuna umeme hadi sasa hivi. Jitafakarini enyi wenye dhamana
Kwani watalii kutembea wanatumia umeme ? Au magari ya tours siku hizi ni ya TESLA ?Habari wadau! Hivi kweli nchi inayopigia kelele kukuza utalii iko gizani Kwa kiwango hiki
Jiji la Arusha tangu asubuhi Hakuna umeme hadi sasa hivi. Jitafakarini enyi wenye dhamana