Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Amani iwe nanyi wakuu.
Arusha ni jiji lilo barkiwa watu wenye vipaji vya aina mbalimbali,tukiacha muziki hiphop uliozaliwa na kukulia Arusha kuna vipaji vingine kama vya reggae na dance.
Sasa leo tujikumbushe manguli na upcoming artist wa RnB kutoka Arusha unaweza kuongezea kwenye list.
1.Rama dee ni msanii bora kabisa kuwai kutokea kwenye kiwwnda cha mziki wa kizazi kipya sasahivi anaishi mbele Sweden ni kawaida kwa machalii wengi wa arusha.
2.Benson ni msanii anaye chipukia kwa kasi ya juu kutoka arusha huyu dogo naye anafanya vizuri sana ni habari nyingine pale THT,kibao kilicho mtoa ni hauzimi.
3.John B huyu ni chorus killer anaimba kwa note za juu sana tofauti na wasanii wengi wa RnB hapa bongo hivyo anawakilisha Arusha vyema kabisa.
4.Ayler voice ni mwanadada matata mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni,alianza mziki kitambo kidogo wajuba tunamuita arusha girl nazani atakuwepo hapa jukwaani pia kwani ana exposure ya kila kitu huyu mtoto mzuri.
5.Vanessa mdee amepewa namba tano kwasababu amesahau jiji lake na kujifanya mdaslade sana,ila anafanya vizuri sana kwenye mziki wa RnB na marachache ana acknowledge A city.
Unaweza kuwataja wakali wengine pia wanaofanya RnB na pop kutoka Arusha.