Arusha home of most talented RnB singers

Penologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Posts
790
Reaction score
1,923
Amani iwe nanyi wakuu.
Arusha ni jiji lilo barkiwa watu wenye vipaji vya aina mbalimbali,tukiacha muziki hiphop uliozaliwa na kukulia Arusha kuna vipaji vingine kama vya reggae na dance.
Sasa leo tujikumbushe manguli na upcoming artist wa RnB kutoka Arusha unaweza kuongezea kwenye list.

1.Rama dee ni msanii bora kabisa kuwai kutokea kwenye kiwwnda cha mziki wa kizazi kipya sasahivi anaishi mbele Sweden ni kawaida kwa machalii wengi wa arusha.
2.Benson ni msanii anaye chipukia kwa kasi ya juu kutoka arusha huyu dogo naye anafanya vizuri sana ni habari nyingine pale THT,kibao kilicho mtoa ni hauzimi.

3.John B huyu ni chorus killer anaimba kwa note za juu sana tofauti na wasanii wengi wa RnB hapa bongo hivyo anawakilisha Arusha vyema kabisa.

4.Ayler voice ni mwanadada matata mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni,alianza mziki kitambo kidogo wajuba tunamuita arusha girl nazani atakuwepo hapa jukwaani pia kwani ana exposure ya kila kitu huyu mtoto mzuri.

5.Vanessa mdee amepewa namba tano kwasababu amesahau jiji lake na kujifanya mdaslade sana,ila anafanya vizuri sana kwenye mziki wa RnB na marachache ana acknowledge A city.
Unaweza kuwataja wakali wengine pia wanaofanya RnB na pop kutoka Arusha.
 
Ninavyofahamu mimi kwa Tanzania harakati za Hiphop zilianzia Dar es Salaam, lakini kwa vile kuna watu wana jealous na jiji hili, tuchukulie tu whatever.
 
wasanii kuanzia no.1-4 kweli hata wana pa kulala hao?
 
Hata USA harakati za Hip-Hop zilianzia NEW YORK lakini centre gravity ya hiphop lwa sasa ni ATLANTA pia miji mingne kama New Orleans,Chicago Hiphop ni popular kuliko New york
Ninavyofahamu mimi kwa Tanzania harakati za Hiphop zilianzia Dar es Salaam, lakini kwa vile kuna watu wana jealous na jiji hili, tuchukulie tu whatever.
 
Hata USA harakati za Hip-Hop zilianzia NEW YORK lakini centre gravity ya hiphop lwa sasa ni ATLANTA pia miji mingne kama New Orleans,Chicago Hiphop ni popular kuliko New york


Hatujahamia New York bado, kwenye post ya mleta mada amesema muziki wa Hiphop umezaliwa na kukulia Arusha. Mimi nasema si kweli, kwa hapa Bongo kila mtu ajua harakati za huu muziki zilivyo anza. Na Dar Es Salaam ndio kitovuni. Sasa hizo blah blah unazokuja nazo ni topic nyingine.
 
Rama Dee the best
 
Anha kweli nilikua sijaona hapo aliposema Hiphop imezaliwa Arusha naunga mkono hoja yako mkuu
 
Mastaa wa vijijini ( mikoani) bwana! Hapo mmoja tu wengine siwajui
 
Ukishindanisha na Dar, Arusha inaongoza kwa machokoraa tu lakini sio sanaa.
 
Inashangaza Sana watu hawamjui RamaD kweli kizazi Ni Cha Diamond hiki.....

Ktk hyo list Rama D is the best aaeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…