Arusha imebadilika sana!

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
627
Reaction score
535
Tumezoea kipindi hicho Hili jiji kwa bata lilikuwa balaa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya Starehe Wajuba wanagongea Konyagi au K Vant tu.

Unakuta Bapa moja linapigwa na watu zaidi ya watano. Kipindi hicho nakumbuka, tulikuwa tukishuhudia mtu akichafua meza kwa Vinywaji vya kila aina tena vya gharama.

Nini kimelipata hili Jiji la Wala Bata? Je ni Athari za Ukuta wa Berlin kule Mirelani kwenye Utajiri wa Tanzanite? Zile fujo za WanaApolo na Pikipiki zao Baja au DT Hatuzioni tena Mjini Chuga...Nyakati zimekwenda wapi???

Niko hapa PicNick naona wana wakigongeana Konyagi na Kvant tu...

Hakuna tena kuchafua meza kama kipindi hicho....

What Went Wrong to this City!!
 

Acha uongo picnic tunakula bata Kama kawaida
 
Warami wamebaki na dollars zao ulaya, Corona sio mchezo eroo.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…