TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,673
Wakuu heshima kwenu..Tunauza tV za aina zote kwa bei poa sana...tunapatikana Arusha town hapa...kwa mahitaji yeyote nicheki kwa 0765360814 watsup na call kawaida .Karibuni sana.
IMG_20221020_063619.jpg
20221013_155540.jpg
IMG-20221006-WA0012.jpg
IMG-20221009-WA0006.jpg
 
Tangazo lako limeishia hapo
 
Mbona mko pembeni ya mji sana? Kwa Morombo mbali sana mkuu
 
Unatangaza biashara kama dalali asee.!ulishidwa nini kupangilia aina saizi na bei ili mtu akichukua namba iwe ni kuagiza sio kuuliza bei.?
Aseme hata mtaa na duka basi, anatoa namba ili atafutwe kwa uspesho gani?

Bei ndio haswa kivutio na anwani kamili
 
Nahitaji smart tv inch 14,, weka bei na number nikuwekee hela kabisa,,
 
Aseme hata mtaa na duka basi, anatoa namba ili atafutwe kwa uspesho gani?

Bei ndio haswa kivutio na anwani kamili
Sindio hizi biashara za kweny mitandao bado sana huku kwetu.
 
Aseme hata mtaa na duka basi, anatoa namba ili atafutwe kwa uspesho gani?

Bei ndio haswa kivutio na anwani kamili

Tunapatikana Arusha makao mapya mkuu...Zilipo ofisi ya Marangu Coach boss...karibu snaa!
 
Tunapatikana Arusha makao mapya mkuu...Zilipo ofisi ya Marangu Coach boss...karibu snaa!
Badilika Sasa Unaambiwa Weka Pictures Za Television Na Ukubwa Wake Halafu Unaongeza Na Aina Ya Television Samsung, LG, Sony
 
Badilika Sasa Unaambiwa Weka Pictures Za Television Na Ukubwa Wake Halafu Unaongeza Na Aina Ya Television Samsung, LG, Sony

tv aina zote zinapatikana mkuu...kuanzia 21inches hadi 75inches....karibu dukani boss
 
Back
Top Bottom