Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho.
Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana.
Leo nimepita pale na gari tunashindwa kupishana kama kawaida mapaka mpange folleni msubiriane jambo ambalo halikuwepo...huyu mwekezaji amesogeza sheli mpaka amekula eneo la barabara na serikali ipo inaliona tu.
Soma Pia: Kwanini Kituo cha Mafuta kilichojengwa Kimara Stop Over kimejengwa eneo la hifadhi ya barabara ya Morogoro?
Tuna imani hili halijamfikia mkuu wa mkoa Poul Makonda asingevumilia ujinga kama huu.
Tunaomba serikali ichukue hatua dhidi ya huyu mwekezaji.