Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Unajua usikurupuke na vioja vyako au hoja za siasa hapa,hiyo barabara tunapita siku zote na magari yapishana vizuri...leo inakuwaje tushindwe kupishana?tunasubiri kwa foleni..acha ujinga wewe..Monoban alikuwa na sheli maeneo hayo mbona hakuingia barabarani na magari yalikuwa yakipisha vizuri bila shida.Unafanya kazi Tarura au Tanroad? Vipimo via barabara unavyo pamoja na ramani? Au ndio kututhibitishia ule msemo kwamba waafrika roho mbaya na uchawi ndio zetu
Bangi za bendera ya kijani hiziUnafanya kazi Tarura au Tanroad? Vipimo via barabara unavyo pamoja na ramani? Au ndio kututhibitishia ule msemo kwamba waafrika roho mbaya na uchawi ndio zetu
Ilikuwa inaitwa sheli ya kwa Monoban kabla ya huyu mwekezaji mpya..ipo hapo Ngulelo standPetrol station inaitwaje mkuu
Nguleo sehem gani?? Monoban ni ile shell ya kitambo sana iko kushoto kama unaelekea usa? Kabla ya Mtatakwani!!Unajua usikurupuke na vioja vyako au hoja za siasa hapa,hiyo barabara tunapita siku zote na magari yapishana vizuri...leo inakuwaje tushindwe kupishana?tunasubiri kwa foleni..acha ujinga wewe..Monoban alikuwa na sheli maeneo hayo mbona hakuingia barabarani na magari yalikuwa yakipisha vizuri bila shida.
Ooh!!darkmind..how about others...?Usipite hapo kwani shida ni nini?
Ndio hapo hapo..siunajua hapo ilikuwa na mgogoro baada ya ule upande kushinda wakaja kung'oa ile sheli ya Monoban then wakamleta mwekezaji mpya ambaye anajenga sheli tena hapo,ndio huyu amejenga mpaka barabaraniNguleo sehem gani?? Monoban ni ile shell ya kitambo sana iko kushoto kama unaelekea usa? Kabla ya Mtatakwani!!
Kwa hiyo ukizoea kupita mahali hapohapo ndio barabara?Unajua usikurupuke na vioja vyako au hoja za siasa hapa,hiyo barabara tunapita siku zote na magari yapishana vizuri...leo inakuwaje tushindwe kupishana?tunasubiri kwa foleni..acha ujinga wewe..Monoban alikuwa na sheli maeneo hayo mbona hakuingia barabarani na magari yalikuwa yakipisha vizuri bila shida.
Nchi iko kwenye auto mode!Hapo vip!!
Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho.
Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana.
Leo nimepita pale na gari tunashindwa kupishana kama kawaida mapaka mpange folleni msubiriane jambo ambalo halikuwepo...huyu mwekezaji amesogeza sheli mpaka amekula eneo la barabara na serikali ipo inaliona tu.
Tuna imani hili halijamfikia mkuu wa mkoa Poul Makonda asingevumilia ujinga kama huu.
Tunaomba serikali ichukue hatua dhidi ya huyu mwekezaji.
Kituo cha mafuta una shell?!Unajua usikurupuke na vioja vyako au hoja za siasa hapa,hiyo barabara tunapita siku zote na magari yapishana vizuri...leo inakuwaje tushindwe kupishana?tunasubiri kwa foleni..acha ujinga wewe..Monoban alikuwa na sheli maeneo hayo mbona hakuingia barabarani na magari yalikuwa yakipisha vizuri bila shida.
Ila ile shell ya Monoban iko mbali na barabara unless kama unakatiza njia ya vumbi kwenda kushoto pale ngulelo kama kaja hadi barabara kuu kuna ka distanceNdio hapo hapo..siunajua hapo ilikuwa na mgogoro baada ya ule upande kushinda wakaja kung'oa ile sheli ya Monoban then wakamleta mwekezaji mpya ambaye anajenga sheli tena hapo,ndio huyu amejenga mpaka barabarani