LGE2024 Arusha: Makonda awakumbusha wananchi umuhimu wa kujiandikisha. Asema kama hujajiandikisha hauna haki ya kulalamika

LGE2024 Arusha: Makonda awakumbusha wananchi umuhimu wa kujiandikisha. Asema kama hujajiandikisha hauna haki ya kulalamika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara yake ya kuangalia jinsi huduma za uandikishaji wa wananchi wenye sifa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Jumatano, Novemba 27, 2024, zinavyotolewa.

Soma Pia: RC Makonda apiga chai na maandazi wakati akitoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kujiandikisha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

RC Makonda amefanya ukaguzi katika vituo zaidi ya saba ndani ya Wilaya ya Arusha, ambapo akiwa kwenye vituo hivyo, amesisitiza umuhimu wa kujiandikisha kwa kusema kuwa kama mtu hajajiandikisha hamna haja ya kulalamika iwapo viongozi watakaochaguliwa watakuwa ni wabovu.

Source: Jambo TV
 
Back
Top Bottom