Arusha: Makonda awapa maua wananchi waliompitisha diwani kwenye dimbwi la maji machafu

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hivi karibuni kulikuwa na video inayotembea mtandaoni ikiwaonesha wananchi wa Arusha wakimtembeza diwani wao kwenye dimbwi la maji machafu.

Akiongea hivi karibuni, Makonda amewapongeza wananchi kwa kumuwajibisha diwani huyo.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwenye hili mheshimiwa iwe tamaduni yaaani hakuna kuoeneana aibu, wanarudisha 20b wakti bado kuna changamoto? Seriously?
 
Halmashauri zinazorudisha fesha huwa sizielewi kabisa.

Ila nadhani shida ni taasisi nyingi zinaendeshwa kizamani sana, mlolongo ni mrefu unaochukua muda mrefu mpaka kukamilika.
Mapendekezo/ maombi yanapita mikononi mwa viongozi wengi, vikao vingi visivyo na maana na si ajabu sio hata vya wataalamu ila viongozi tu tena wa kisiasa.
 
DIwani Mbise umepata ulichostahili..ndio gharama ya kuwaziba wananchi midomo kwa kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa..yule Dominic hakuwa na sifa asilani
 
CCM ndio inapaswa kufanyiwa hivyo huyo diwani ni kumuonea tu Mbona huyo Makonda hawashawishi wananchi wamtumbukize Samia kwenye dimbwi la matope?
 
Diwani afanyeje kama kuna dimbwi??
Mkurugenzi ndio apitishwe kwenye maji
 
Hata yeye asingekuwa na escort alipashwa apitishwemo
 
Mwadiwani wawaburuze tu wanafanya mambo ya hovyo sana yanakalia kubishana tu na migogoro, wataalam hupendekeza kulingana na mahitaji ya maeneo husika. Wakipeleka bajeti ni kubishana tu na kuzikataa.
Mwisho wa siku miradi unapelekwa miji ambayo haina migogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…