Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

Lema asicheze na kura za wananchi!sisi hatutaki utani kabisa!!!!
 
Unasemaaaa!! PJ habari nzito hizi, Lema ni wa calibre hiyo kweli? After having fought 4 all this long aje kununulika kirahisi tu namna hiyo, hakika nguvu ya umma itamrudi, asithubutu kuchezea utashi wa wapiga kura wa A-town!
 
That can't be - Arusha sio sawa na mikoa mingine Lema kufanya hivyo anauza "uhai" wake - serioulsy.
 


Heshima kwako PakaJimmy,

Mkuu wangu haya mambo nilikuwa nakwambia kila siku hukunielewa kabisa ilifika mahali ukashindwa kunielewa tuko pamoja kupigania ukombozi wa Tanzania.Mkuu Lema ni karata mbovu nilishasema siku nyingi nakushagaa leo unaleta habari nilizozitabiri miezi miwili iliyopita.

Mkuu PJ zipo njia tano ambazo najua zitatumiwa kummaliza Lema moja ni hiyo uliyosema bado ziko nne hazija tumika subiri ujionee mwenyewe nakwambia utakuja nipigia magoti na kuniomba msamaha kibao.Lema akitangazwa mbunge hatadumu zaidi ya miaka miwili take it from me Broda.
 
That can't be - Arusha sio sawa na mikoa mingine Lema kufanya hivyo anauza "uhai" wake - serioulsy.

Akiuza kura wananchi wakijua watamwua. Nakuhakikishia na Ile Arusha Niliyozaliwa mimi.
 
Hizo kura siyo za Lema ni za Wanachadema, hawezi ingia mkenge aisee.


Mkuu wangu Lema alishinda mwaka 2005 kitu alichotufanyia Mungu anajua kama namsingizia alituuza akavuata mshiko akakimbilia CHADEMA binafsi nikapiga kelele sana hakuna aliyenisikia wengine walidiriki kuniambia nina chuki binafsi.
 

Paka jimmy upo A-Town au wapi. Jibu hilo swali tafadhali mkuu.
 
Lowassa anakuja kwenye jimbo hilo kama nani?? hivi anadhani zile zama zake bado zipo eh??

ningekua rais, ningemchapa kifungoni tu huyu... mara aingilie wengine, mara aanze kampeni za uspika mara hili mara lile

eish
 
yaani leo nimefungu bia badala ya chai asubuhi ha ha ha a crazy monday
 
Huyo Batilda ni nyumba yake ndogo na hao watoto kazaa nae. Ushahidi kamili kapimeni DNA.
 
too late... people's power is beyond a candidate... hizo kura sio za lema bali ni za wananchi wa arusha
 
Huu mziki mi naona wanaukosea stepu kabisaa, nale Lema akiingia mkenge ataumia, tena asicheze na hasira za watu waliochoka!
 
Nimeanza kuhakikisha maneno kadhaa kuhusu Lema, nina wasiwasi si mwanamapinduzi kama tunavyodhani! Cha kufanya wana Arusha ni kuendelea kulinda kura (matokeo ya vituo vyote), kama yeye atakubali kununuliwa-ile upande wake, asiwaletee mapenzi!:A S angry:
 
Huyu jamaa anavuka mipaka anafanya kama Tanzania ni familia yake...
 
2005 siyo leo hata hivyo alikuwa kwenye chama cha wachakachuaji

Kama alikuwa kwenye chama cha wachakachuaji lazima atakuwa mchakachuaji pia.
 
Hawezi kuchezea hisia za watu..haiwezekani..dhamira itamsuta wakati nafsi ikimgwaya..hawezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…