Hizi ni habarti njema. Maana wana Arusha wangemkata shingo kama angekubali mlungula wa fisadi Lowasa. Pia ingewakatisha tamaa wananchi kujiandikisha kupiga kura maana kura zao wangeona hazina maana tena.
Jamani eeeeeh! kuna habari nimezipata punde kuwa kule Mbulu na Hanang wanataka kuchakachua pls pls watu wa huko kuweni makini hii imetoka ndani ya mtandao wa kuaminika wa JK.