Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

Jamani mbona mnakuwa kama NEC na nyie yani hamueleweki kabisa..tuambieni ukweli
 
ooooh! jamani wengine tuna mishono ya zama hizooo... msitufanye tukaitiwa ambulance ss hz
 
rutashubyanyuma tafadhali usipost propaganda mnapotosha jamvi hili.. mpaka sasa hajatangazwa mtu na sasa saa9 na dk36 natazama live star tv anjelo moreka anaripoti na wanangojea. tuheshimu jamvi hili
 
eneo la kutangazia matokeo linaonyeshwa live hivi sasa STAR TV. stay tuned
 
Hakika mungu yupo na watanzania atawapa viongozi maowataka tuongeza sara hawa ccm aibu kwao mzaha waweza fanya lolote muda wowote. Tuombe mungu awatwange woote wabaya wakalazwe wakirudi waone haki ishatendeka
 
Endelea kutupa newsssssssssssssssss mkuu. Tunasubiri kwa hamu saaaana maana kuna kila aina ya habari
 
UPDATE...wakuu, naangalia LIVE starTV hapa...matokeo BADO hayajatangazwa hadi hivi sasa klwa arusha mjini!

Mkuu Ruta, unaweza kutuambia source yako please? otherwise hii inaturusha roho bure tu
 
Chadema sasa rasmi imetwaa jimbo la Arusha...............Hili halina ubishi.........Katangazwa rasmi......

Usichezee akili za watu wewe. Huna adabu. Mods tafadhali naona viwavi vimevamia jamvi hili. Kama unaweka kitu hapa be objective ukijua kuwa hapa wako watu wazima, no kids. Hata watoto siku hizi wanajua haki zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…