Nxt Millionaire
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 406
- 89
nitakuwepo sanaitakuwa kesho trh 9/7/2011, the only kigezo is your burning DESIRE to succeed in the 21st century.
Baby boomers wa kimarekani ni wale waliozaliwa during WWIIWakitanzania sijui ni wa 80's 70's or 90's au when?Who are the 'baby boomers' in Tanzania? Do I qualify to be one of them?
if you in arusha or anywhere nearby dont miss the 21st century business opportunity seminar at aicc simba hall from 10:00am, this is a never miss event for all baby boomers and all who wants to know how to do business in the information age, participants from burundi, kenya, uganda, south africa, zambia, mbeya, mwanza, dodoma, dar es salaam, etc confirmed to attend, you can book your chance now.
For any information you can pm me or call 0716927070
wakuu huo ni mkutano wa living forever kama mnahitaji kuuza madawa ni vizuri mhuzurie. Ila taarifa ndo hiyo ni mkutano unao kutanisha wauza living forever kutoka nchi mbalimbali za africa mashariki.
Mkuu, issue ni living forever au ni opportunity that goes with it? binafsi nina ndugu zangu ambao wako huko na sijawai ona wakiuza hizo dawa unazosema na si hivyo tu wametuacha mbali sana kimapato katika muda wa miaka miwili tu toka wajoin huko, it seem that it pays for those who take it seriously, I wanna join it myself very soon.
Opportunity zipi? za kuuza madawa ya wazungu? kwa nini tusiuze ya kwetu? Mkuu mimi niko Arusha naishi arusha hawa living forever wameisha niita sana kwenye ofisi zao pale BLUE ROCK. HII KAZI YA KUUZA MADAWA YA LIVING FOREVER NI NGUMU SANA, KUTAFUTA WATU KUWKONVISE MPAKA WANUNUE HIZO DAWA SI KAZI NDOGO.
HUO MKUTANO KAMA UNGEKUWA NI WA FURUSA KAMA ZA KILIMO, UTARII, NA VINGINE NINGEKUELEWA. LAKINI MKUTANO WENYEWE UNAHUSU STORY ZA KUUZA MADAWA YA LIVING FOREVER. NA WANALETA WATU WANATOA USHUHUDA KUMBE NI GERESHA.
MSIDANGANYE WATU HAPA ,OPPORTUNUTY ZA KIBIASHARA WAGA NI KATIKA SECTA NYINGI SASA NI OPPORTYNITY GANI HIZO ZA KUUZA MADAWA YA MAKAMPUNI YA WAZUNGU?