Arusha: Mtanzania afika kilele cha Mlima mrefu zaidi duniani, Mlima Everest

Uzi hautembei kwasababu juzi kati tu mluganda aliyezaa na mtanzania anayeishi Sauzi akijiita bosslady, alikuwa bungeni na kutangazwa kuwa balozi wa Tanzania wa utalii.

Hongera SANA mtanzania mwenzetu binti.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
litoto la fisadi hilo, yanakula yenyewe, yanasifiana yenyewe, yanatangazana yenyewe afu yanarudi kujipromote na kwetu, ili iweje? sisi inatuhusu nini? au labda tunapata faida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…