Elections 2010 Arusha, Mwanza, Mbeya: CCM itatueleza damu ikimwagika.

Bigirita

Platinum Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
16,039
Reaction score
7,465
Kuchelewesha kutangaza matokeo katika mikoa hiyo ni dalili za wazi kuwa CCM wanataka kuchakachua. Wananchi wamepata hasira sana mpaka sasa, wanaonekana wapo tayari kwa lolote, iwapo FFU wanakuwafukuza au kuwapiga mabomu ya machozi, yatakayotokea baada ya hapo CCM itawabidi watoe maelezo kwa watanzania na jumuiya wahisani wa kimaendeleo.
 
Na damu ikimwagika itakuwa juu ya NEC pamoja na Serikali nzima ya JK!!!
 
Na damu ikimwagika itakuwa juu ya NEC pamoja na Serikali nzima ya JK!!!
Inanisikitisha sana. Baada ya uchaguzi, nitaweka position yangu against CCM wazi. Haijalishi watashinda au hawatashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…