Arusha: Mzee ashilikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwaomba watoto wadogo wa kiume wamwingilie kinyume na maumbile

Baada ya kachiwa na jeshi la polisi na kupewa adhabu ya kuripoti polisi kwa Muda wa wiki mbili ndipo wananchi wa mtaa huo wakaapa kufa nae endapa hawatakamata ndipo jeshi la polisi likamkamata na sasa anashikiliwa na jeshi la polisi
Wananchi wasingeishitua polisi! Wangekula nae sahani moja mpaka aseme kwanini kafanya huo ufirauni!😡
 
The world is approaching its end. This is real.
 
Vijana wengi wa Arusha wamepasuliwa spika zao, sasa babu kaona vijana wanafaidi na yeye spika yake ipasuliwe😀😀
 
Michezo ya kijinga imebamba tangu ile kauli ya tafuta hela .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…