Funds zilishatolewa, Kenya kwao wameitumia vizuri hadi utafurahi. Hapa kwetu ndo hivyo tena, Waziri wa miundombinu ndo huyo ....hata humsikii akiongea. Mpaka Pinda akaingilia kati kuwakemea TANROADS Arusha ndo wakafanya fanya hata hiyo extension..... Huyo Kawambwa sijamsikia akisema lolote kuhusu hii bara bara. Wajenzi wenyewe wanaazima vifaa kwa kampuni inayojenga Kenya! Na bado tunadhani Arusha ndo makao makuu ya EAC ...ukienda Arusha utashangaa...hamna barabara! Sijui kama Muungwana anajua hivi vitu?