Arusha hali yake ya hewa inafaa sanaa tu kwa wale wapendanao, yaani ni fireeeeeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305][emoji1305]
Jamani, kama unataka kwenda honeymoon, uende Arusha au kama unataka kwenda ku-refresh mind muende Aarusha coz hali ya hewa ya ubaridi ina connection na mamboz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hali ya hewa inaruhusu, siyo Dar. Ni Arusha, Mbeya na Njombe, yaani raha tuuuuu.