Arusha ni sehemu ambayo changamoto ya miundo mbinu ya barabara ni kubwa kuliko sehemu yoyote Tanzania

cobyn

New Member
Joined
Jul 15, 2024
Posts
2
Reaction score
3
Ujenzi wa uwanja wa arusha kwa ajili ya afcon ni fursa adhimu kwa waandaji kwa maana kwamba africa iko mikononi wa east africa 2027

Nimekuwa nikufuatilia mijadala ya wadau wa michezo na wanamichezo kuhusua maandalizi yenyewe kila mmoja anatoa mawazo ya namna maandalizi haya yafanyikie.

Arusha moja ya sehemu ambayo afcon itafanyika ila nachelea kusema arusha siyo mji wa kitalii tu bali arusha ni sehemu ambayo changamoto ya miundo mbinu ya barabara ni kubwa kuliko sehemu yoyote tanzania hii haiwezekani tunandaa afcon kila siku barabara za miji hazipitiki kuziba viraka kila wakati, tunahitaji kuona mabadiliko kulingana na tukio lenyewe huu siyo wakati wakuziba viraka barabara za jiji la arusha hizo gharama zitumike kufanya shughuli nyingine tunahitaji ujenzi wa barabara mpya za kisasa mfano dodoma road imechakaa haifai kuendelea kuziba viraka hii ni aibu.

Hii kutoka mbauda hadi morombo ndiyo njia za kuelekea uwanja unakojengwa mkandasi yuko site kuziba viraka hii siyo sawa wahusika tunaomba hatuhitaji tena repair za barabara kwa sasa arusha ujenzi mpya tena kwa wataalamu wabobevu kuweka madhari ya jiji letu sawa .
 
👏
 
Kabisa barabara za Arusha ni nyembamba na mipango mji ni mibovu kabisa.
 
Hii kutoka mbauda hadi morombo ndiyo njia za kuelekea uwanja unakojengwa mkandasi yuko site kuziba viraka hii siyo sawa wahusika tunaomba hatuhitaji tena repair za barabara kwa sasa arusha ujenzi mpya tena kwa wataalamu wabobevu kuweka madhari ya jiji letu sawa .
Pesa za ujenzi wa barabara zimeelekezwa kukarabati uwanja wa Ndege means barabara sio muhimu kuliko uwanja wa Ndege, ongea na DAB umuelezee
 
Hivi kwa nini Njiro hakuna hata mtaa mmoja wenye barabara ya lami? Hawa jamaa walifanya kosa gani?
 
Ujenzi wa uwanja wa arusha kwa ajili ya afcon ni fursa adhimu kwa waandaji kwa maana kwamba africa iko mikononi wa east africa 2027

Nimekuwa nikufuatilia mijadala ya wadau wa michezo na wanamichezo kuhusua maandalizi yenyewe kila mmoja anatoa mawazo ya namna maandalizi haya yafanyikie.

Arusha moja ya sehemu ambayo afcon itafanyika ila nachelea kusema arusha siyo mji wa kitalii tu bali arusha ni sehemu ambayo changamoto ya miundo mbinu ya barabara ni kubwa kuliko sehemu yoyote tanzania hii haiwezekani tunandaa afcon kila siku barabara za miji hazipitiki kuziba viraka kila wakati, tunahitaji kuona mabadiliko kulingana na tukio lenyewe huu siyo wakati wakuziba viraka barabara za jiji la arusha hizo gharama zitumike kufanya shughuli nyingine tunahitaji ujenzi wa barabara mpya za kisasa mfano dodoma road imechakaa haifai kuendelea kuziba viraka hii ni aibu.

Hii kutoka mbauda hadi morombo ndiyo njia za kuelekea uwanja unakojengwa mkandasi yuko site kuziba viraka hii siyo sawa wahusika tunaomba hatuhitaji tena repair za barabara kwa sasa arusha ujenzi mpya tena kwa wataalamu wabobevu kuweka madhari ya jiji letu sawa .
Huo ni mji wakitalii sasa miundominu ya kisasa ya nini inatakiwa Wazungu wakija Watembee sehemu mbovu ndiyo Utalii wenyewe huo,uko Wanzugu wanapotoka kuna barabara nzur sana na wakija Kutalii wanatakiwa wakutane na vitu tofauti na vya kwao yani wakutane na vitu vya Asili matope na changalawe.
 
Back
Top Bottom