Mowwo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2015 Posts 1,083 Reaction score 1,628 Jan 20, 2025 #2 Bila shaka hapa ni njia ya kutoka Morombo kuelekea Round about ya Morombo. Arusha sehem zisizo na lami hazifaii, ni Aibu ukizingatia hili ni jiji la kitalii
Bila shaka hapa ni njia ya kutoka Morombo kuelekea Round about ya Morombo. Arusha sehem zisizo na lami hazifaii, ni Aibu ukizingatia hili ni jiji la kitalii
LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 Jan 20, 2025 Thread starter #4 Hii ni moshono kwenda barabara ya East Africa
NguoYaSikuKuu JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 681 Reaction score 1,020 Jan 20, 2025 #5 Unaambiwa eti hili nalo ni Jiji.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jan 20, 2025 #6 Lemma ameharibu sana mkoa wa Arusha enzi akiwa mbunge
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jan 20, 2025 #7 Nikajua labda kuna simba ama mnyama mkali kumbe vumbi tu!, hukuwepo kwenye kikao wewe
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jan 20, 2025 #8 Kuna watu wanatumia 20K kwenda na kurudi kazini kila siku
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Jan 20, 2025 #9 Aisee
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Jan 20, 2025 #10 Anzaa kulifungaa kwenyee karatasi uuzie watu Kwa kulipa jina la VUMBI LA ARUSHA
Mowwo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2015 Posts 1,083 Reaction score 1,628 Jan 20, 2025 #11 chiembe said: Lemma ameharibu sana mkoa wa Arusha enzi akiwa mbunge Click to expand... Bure kabisa wewe
chiembe said: Lemma ameharibu sana mkoa wa Arusha enzi akiwa mbunge Click to expand... Bure kabisa wewe