MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 603
<br />Babu hebu fafanua hiyo bar hapo kwenye bold!!<img src="images/smilies/coffee.gif" border="0" alt="" title="Coffee" smilieid="47" class="inlineimg" />
Waneniudhi hawajakupeleka kwa nicky, ukale misamaki ya foil loooo
usichoelewa nini sasa?.....anyway_Mtoni Temeke Kuzuri Bar,...ipo maeneo ya mianzini,..totoz za kuhudimia ziko
poa
Walinambia wamekuachia wewe unipeleke.... ila nshaanza kukuogopa kuna limjamaa huku linakumendea vibaya wewe na mjukuu wangu mtiifu mj1. Mkipata mimba muishie hukohuko....Waneniudhi hawajakupeleka kwa nicky, ukale misamaki ya foil loooo
wewe unakuja lini Arusha?
Khaa...... hatuitaji ajira Arusha..... kina Lily Flower wanatutosha mbona?wageni wakiwa wengi itakuwa ni furugu bana,...ngoja inabidi tuweke limit ya wageni wa kutembelea arusha kwa kila mwaka,...wahamiaji wakiwa wengi watachukua nafasi zetu za ajira,...by the way nawapenda wote
Ngoja niazime na raba mtoni za klorokwini kabisa nikaoshe nyota..... Preta alinibania sana bana....
Waneniudhi hawajakupeleka kwa nicky, ukale misamaki ya foil loooo
Usihofu babu, vigezo na masharti kuzingatiwaWalinambia wamekuachia wewe unipeleke.... ila nshaanza kukuogopa kuna limjamaa huku linakumendea vibaya wewe na mjukuu wangu mtiifu mj1. Mkipata mimba muishie hukohuko....
Hongera sana Babu...
Kipindi nyingine unialike..
Ntakusaidia kusukuma basi liki
kamwa kwenye tope...
Na ile mikuku, pia kwa pop khan mlimpeleka ile mambo ya kihindivijana wa zamani hawajazoea kula samaki wanaogopa kuchumwa na miba......kumbuka macho kwishney....... wanapenda kula mioyo na maini ya Mbuzi
Hahahaha mioyo ya mbuzi kwa mromboo.........khaaaa!
wageni wakiwa wengi itakuwa ni furugu bana,...ngoja inabidi tuweke limit ya wageni wa kutembelea arusha kwa kila mwaka,...wahamiaji wakiwa wengi watachukua nafasi zetu za ajira,...by the way nawapenda wote
Na ile mikuku, pia kwa pop khan mlimpeleka ile mambo ya kihindi