ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

Ehhh Babu kweli siku hizi una roho mbaya yaani umefika Arusha ukashindwa kuja kuniona Karatu??? siamini
 

Yaani hao warembo wote kumbe wanapatikana Arusha!? Dah! Itabidi nifunge safari rasmi ya kwenda Arusha, nianzie Moshi kwanza kwa Nyamayao laazizi, namchukua twaenda wote Arusha.

Safari hii itakuwa imedhaminiwa na TBL, Konyagi, SBL, Heineken na Chibuku.
 
Kaizer, ungeikandamizia hii komenti yako kwa kubadili avatar yako japo kwa mwezi huu ili usiwakwaze wenye swaumu zao!

hahaha sasa apo una utani na wapare....Mkuu Masaki si unajua inabidi tusisahau sahau kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…