ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

Ila tu wanaarusha kuna member mmoja alikuja huko ametoa mapicha ya khatari sana kwenye jukwaa la wakubwa, i hope hayahusiani kabisa na Arusha MMU

Au siyo?
 
<br />
<br />
Mzima kabisaa! Halafu nimekumiss ujue! Arusha na mie ntaenda bana! Halafu sijui nikunong'oneze[/QUOTE]

Kimey kwa taarifa yako preta ametoa taarifa kwamba wageni kwa sasa nafasi zimejaa
 
 
HTML:
[quote="Kimey, post: 

Aisee mkianza tena kupokea wageni unishtue![/QUOTE"]


Yaani, siku zote najua wewe ni mwenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…