ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Mzima kabisaa! Halafu nimekumiss ujue! Arusha na mie ntaenda bana! Halafu sijui nikunong'oneze
<br />
<br />
Hata nami nimekumis bana. Ukianza safar ya Ars, nibeep nikusindikize ...🙂 subiri Babu ODM alale, ndipo uninong'oneze 🙂
 
Babu karibu na mwetu bana
Hivi ni wapi huko? Hakuna masharti na vigezo vya kuzingatia?

Wivu unaniwasha aisee.
Nenda Arusha ukakunwe.........

Ehhh Babu kweli siku hizi una roho mbaya yaani umefika Arusha ukashindwa kuja kuniona Karatu??? siamini
Niliishiwa mafuta....... si kosa langu, Ngeleja huyo. Siku nyingine nikija ntakudipu......

Dah... mzee wa memkwa nimebaki man alone.... itabidi nikodi jeshi niende huko wikendi moja kabla ya mwisho wa dunia
Imebaki historia......

Usithubutu kukutwa.......

Ila tu wanaarusha kuna member mmoja alikuja huko ametoa mapicha ya khatari sana kwenye jukwaa la wakubwa, i hope hayahusiani kabisa na Arusha MMU

Au siyo?
Hahahahahaha khaaa!

HTML:

Yaani, siku zote najua wewe ni mwenyeji.
Mwenyeji wa likizi ya miezi mitatu........ kwa hisani ya blaki womani

God Bless
Amen

Maswala ya ukaguzi vp yalifanyika kwa usalama lakini?
 
We kaa huko huko! Tangu umeondoka Ar, na Blaki amepotea kabisa. Kwahiyo ukitia timu tu mjini, unaishia "kisongo" maana una kesi ya kujibu!
 
Nikikamata raba mtoni ya klorokwini..... ODM atakuwa mgeni wa Preta....... Nikikosa rabamtoni ntaazima makubazi ya Bigirita then Blakiwoman atakuwa mwenyeji wangu. Kama vipi niazime zile mokasini zako nikabembee na Liliflawa au Switiledi........
Mkuu, hivi huyu jamaa yupo wapi siku hizi???
nimem-miss sana bana!!!!
mwambieni aniPM basi!
 
We kaa huko huko! Tangu umeondoka Ar, na Blaki amepotea kabisa. Kwahiyo ukitia timu tu mjini, unaishia "kisongo" maana una kesi ya kujibu!
Hahahahah we ni noumaaa....... we wakati uko bize na Lema, sie tulikuwa twajichana kwa mromboo....

Mkuu, hivi huyu jamaa yupo wapi siku hizi???
nimem-miss sana bana!!!!
mwambieni aniPM basi!
Ngoja nicheki na mazandu ndo alikuwa na contacts zake. Afu ntakupigia.....
 
Hahahahah we ni noumaaa....... we wakati uko bize na Lema, sie tulikuwa twajichana kwa mromboo....

Ngoja nicheki na mazandu ndo alikuwa na contacts zake. Afu ntakupigia.....

tehe tehe the Arusha nitarudi tena!
 
We kaa huko huko! Tangu umeondoka Ar, na Blaki amepotea kabisa. Kwahiyo ukitia timu tu mjini, unaishia "kisongo" maana una kesi ya kujibu!
Una ushahidi wa kutosha usije kuwa kama Pinda tehe tehe tehe. Black Woman yupo bana ni wewe tu, mpigie kwa 0147585258 utampata.
 
Take care chali angu! La cvyo ukitia mguu moshono nakutia mimba arifu!
 
babilon na bougaloo mlimpeka? babilon achaaaaaa bana, ni balaa...weather tu ya arusha inanishinda ila???? na mie nitarudi tena
 
babilon na bougaloo mlimpeka? babilon achaaaaaa bana, ni balaa...weather tu ya arusha inanishinda ila???? na mie nitarudi tena
Ukija utujuze tu huku Arusha tunatembea na daktari wetu hivyo hali ya hewa isikupe shida wewe jipange tu.
 
Umri wangu hauruhusu kotoa kirefu cha MTK Bar,
Ila jina rasmi ni Arusha night park bar.
MTK bar inatoa taswira ya maumbo ya wasichana wanaofanya kazi pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…