Arusha: OC CID atinga kizimbani kutoa ushahidi kesi ya Ole Sabaya

Weka maswali alihojiwa shahidi na upande wa wakili wa Mtuhumiwa ili tujue ukweli ulivyo
 
Aseee kama ni kweli sabaya atakua zaid ya jambazi
 
Huyo mtoto wa mama mwenye shati ya blue tamaa imemponza,ndio alikua mshika pesa zote za uwizi
 
Wanamtoa live wenyewe ili isionekane kaonewa ndio maana hakimu katolewa mkoa mwingine kabisa kuja kumaliza kesi za Arusha siku 14 mfululizo aende tena huko Moshi kwenye kesi zake zingine huyu Moshi ataenda akiwa na jezi tayari labda waruke hukumu...
Kesi za moshi hachomoki,shida arusha kawapiga sana wahindi hawawezi kusema lolote
 
Nchi ngumu Sana hii, mteule wa rais na jambazi hawana tofauti
 
Wakishtakiwa chadema wanaonewa na mahakama na polisi wanaonekana hawafai ila wakishtakiwa kina Sabaya mnaona polisi na mahakama zipo vizuri na mnashangilia sana
 
Sabaya ni mtoto wa Arusha anaifahamu sana Arusha na kona zake zote. Anajua duka gani la nani linauza nini na ntaingiaje. Alitumia uteuzi wa Shetani Magufuli kurudi na kuwaonyesha yeye ni Nani!
Ila kimaadili Mkuu wa Mkoa akiwemo Mrisho Gambo na RPC walitakiwa kuwajibika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…