Arusha pamenuka: Karatu sec wagoma! Mabomu yalipuliwa, Shule yafungwa, haijulikani itafunguliwa lini

Nackia ocd alivyokuja shuleni kwenu mlikataa kuongea naye?

Alikuja akatukuta ndo tunataka kwenda wilayani.. Alivyo na kauli mbaya Akasema Tumeweka Genge la Wahuni.. Sasa ni nani ataweza kuongea na m2 anaetuita wahuni..
 
Sa ya ukombozi imefika tuendelee hivi hivi na migomo na mandamano ya kuipinga serikali ya CCM dharimu na legelege.
 
poleni sana! Siku nyingine mjigawe makundi 3,kundi la kwanza linapita barabara kuu,la pili mnapitia boda la bashay kuna chochoro la kutokea town,kundi la tatu mnapitia shamba la shanglai! Kwa idadi ndogo ya askari mtafanikiwa kufikisha ujumbe!

lazima utakuwa ulisoma karatu si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…