Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa mahakamani kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi

kwani huwajui POLIFISIEM? ukionekana kwenye tukio wewe ni mhusika.
 
Umefafanua vzr we unaijua sheria utakuwa kada mzuri sana bdae
 
Mnahangaika sana kumsafisha huyo Sabaya, nawashauri muache huu utoto wenu, ushahidi wa uhuni wa Sabaya upo kila mahala mpaka kwenye video, ushahidi wa mtu mmoja ndio mnautumia kama kielelezo cha kushinda kesi, punguzeni ushabiki mandazi.
Acha uchawi ww
 
Acha kutetea upumbavu
 
Wakili anauliza maswali ya covid bila hata kuuliza kama alienda na passport iligongwa au laa...
 
Wakili anauliza maswali ya covid bila hata kuuliza kama alienda na passport iligongwa au laa...
ndugu yaani maswali ya mawakili wakati mwingine ya mauzi ili tu utoke kwenye reli naukitoka tu mwenzio anachukulia point hapo
 
Mnahangaika sana kumsafisha huyo Sabaya, nawashauri muache huu utoto wenu, ushahidi wa uhuni wa Sabaya upo kila mahala mpaka kwenye video, ushahidi wa mtu mmoja ndio mnautumia kama kielelezo cha kushinda kesi, punguzeni ushabiki mandazi.
Wanahangaika sana hawa vyawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…