Elections 2010 Arusha Sombetini: Atoweka na daftari la wapigakura

Elections 2010 Arusha Sombetini: Atoweka na daftari la wapigakura

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
moz-screenshot-3.png
moz-screenshot-4.png
Atoweka na daftari la wapigakura Send to a friend Sunday, 31 October 2010 19:21 0diggsdigg

Zephania Ubwani, Arusha


MSIMAMIZI Mwandamizi wa kituo cha Shule ya msingi Sombetini mkoani Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi, baada ya daftari la wapiga kura lenye karatasi 400 kupotea katika kituo anachokisimamia.

Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Basilio Matei alisema kuwa msimamizi anashikiliwa na polisi akihojiwa kuhusiana na upotevu huo.

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Estomih Chang'a alisema kuwa atatoa tamko baadaye, ingawa msimamizi huyo aliendelea kuwekwa rumande kihojiwa.

SOURCE:MWANANCHI
 
Back
Top Bottom