Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Mlio Arusha kalisikilizeni jembe likitaka maoni ili liyafanyie kazi, maana kila siku wamezoea kumnukisha oooooh hafanyi kazi n.kWana wa Arusha na wapenzi wa Chadema:
Mbunge wa Arusha mjini Mh, Godbless Lema anawaalika kwenye mkutano wa kujadili maendeleo ya Arusha mjini. Mkutano utafanyika Hotel Manor sakina saa nane kamili mchana leo tarehe 30/11/2011, mtaarifu na mwenzako.