ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
hellow ladies and gentlemen.,

kwa hali navyoendelea sasa katika mji wa Arusha, nahisi amani kwa wafanyabiashara haipo tena!
mfululizo wa matukio ya mauaji ya kupigwa risasi kwa wafanyabiashara mbalimbali yananitisha sana aisee!!

mwenzenu nilikuwa na mpangowa kuanza biashara ndogo ndogo za kununua madini na kuyauza! lakini kwa jinsi ninavyoona upepo unavyoenda ndani ya huu mji, kwa kweli sina hamu!
usalama wa wafanyabiashara ni mdogo mno! serikali yenyewe naona kama imejiziba macho vile!!?

na hata kwa upande wa maisha ya kawaida, sidhani kama kuna usalama jamani!! please naombeni mnitoe hofu juu ya hili!
hali ya maisha ikoje huko?

wana arusha sijui mnalichukuliaje suala hili katika mji wenu!!
 
Tangu hapo Arusha sio salama kabisa.
 
Kweli wanaouwawa n lazima kuna kitu kilicho sababisha hasa kudhulumiana katika biashara...wala sio majambaz ni hao hao wafanyabiashara
 
Arusha imerudi kuwa "Town" tena? Nilidhani ilijigawia hadhi ya "City" siku nyingi?
 
Kama ukija kwa amani mbona utaenjoy. Ila cha muhmu jifunze kuwa na mawasiliano mazur na wenyeji na usipende makundi ya wahuni coz utakuwa unavutia matatzo upande wako, vita za kimakundi zipo sana.
 
Arusha ni salama, kama utafuata simple rules
1. Mind your own business. Achana na mambo ya watu.
2. Usimdhulumu mtu. Toa kwa kadri mlivyokubaliana.
Ukifuata hizi simple rules wala huna cha kuhofia.

3. Anza kutafuna mirungi.
 
3. Anza kutafuna mirungi.

...and I am not joking.
The only way to blend with the local population (especially Kaloleni, Majengo, and Mtaa wa Bondeni), because 90% of the population are addicted to the stuff. They will feel you are one of them.
 
huu mji nauogopa zaidi ya baghdad,it is not a safer place to live.
 
...and I am not joking.
The only way to blend with the local population (especially Kaloleni, Majengo, and Mtaa wa Bondeni), because 90% of the population are addicted to the stuff. They will feel you are one of them.

mimi ni mzaliwa wa Arusha na ninamarafiki wengi maeneo hayo uliyotaja na situmii kilevi chochote japo wenzangu ni watumiaji bt they always consider me as one of them.
 
mimi ni mzaliwa wa Arusha na ninamarafiki wengi maeneo hayo uliyotaja na situmii kilevi chochote japo wenzangu ni watumiaji bt they always consider me as one of them.

Are you sure? Because I lived in those areas, and since I dont chew the stuff, I was branded as "abnormal".
 
sijawahi ipenda Arusha na ninapaogopa sana.sitamani kuishi hapo na naomba Mungu 'mkoloni' wangu asihamishie huko kabisa!
 
Are you sure? Because I lived in those areas, and since I dont chew the stuff, I was branded as "abnormal".

umeishi Arusha kwa muda gani? Coz ninauhakika na ninachokuambia from my own personal experience. I dont chew the staff as many do bt am in business with those who do.
 
Hawauwawi bila sababu ila kama utaringia watu mali zako basi utatolewa utumbo...mind ur own business bila ivo utachinjwa tu.
 
kuuwawa sio lazima uwe bilionea mbona hata walalahoi wanapigwa beto wanakufa? Cha muhimu ni kujua njia sahihi ya kupata unachotaka bila kutapeli na kuumiza wengine.

lakini kwanini Arusha?
 
Back
Top Bottom