Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Oct 29, 2010 #21 Kamanda PakaJimmy huo ndio utafiti wangu usishangae sana Mama akiibuka ushindi hatujawatendea haki waTanzania wapinzani lazima wajue watabeba zigo la lawama Arusha ikiangukia tena CCM. Click to expand... Hivi kuwafikia wapigakura maana yake ndiyo sasa watakuchagua? Na unaziponda REDET na SYNOVATE angalau wao hata wanajua kuwa takwimu zinahitajika wewe uchambuzi wako umerindima kwa hisia tu......... Pambanua wagombea husika wamewafikia wapigakura wangapi kwa maana ya idadi na lini kuwafikia wapigakura ndicho kigezo cha kuchaguliwa...............
Kamanda PakaJimmy huo ndio utafiti wangu usishangae sana Mama akiibuka ushindi hatujawatendea haki waTanzania wapinzani lazima wajue watabeba zigo la lawama Arusha ikiangukia tena CCM. Click to expand... Hivi kuwafikia wapigakura maana yake ndiyo sasa watakuchagua? Na unaziponda REDET na SYNOVATE angalau wao hata wanajua kuwa takwimu zinahitajika wewe uchambuzi wako umerindima kwa hisia tu......... Pambanua wagombea husika wamewafikia wapigakura wangapi kwa maana ya idadi na lini kuwafikia wapigakura ndicho kigezo cha kuchaguliwa...............