Hili Jeshi, huwa sielewi wanafanya kazi gani! kwenye umbea wapo, kwenye rushwa wapo, kwenye kuua raia wema wapo, kwenye utapeli wapo, kwenye utekaji wa raia wema wapo, kwenye kuiba kura wapo. Kiukweli nikikwazo kama vikwazo vingine kwenye Taifa hili.