hapo ngoja ni ku direct coz nakaa a town ni kwamba ukiwa kwenye gari waambie wakushushe MAKUMIRA university ni barabarani kabisaa yaaani ukiwa unatoka moshi upande wa kuli xo usijali na mazingira yako poa ukiwahi utapata chumba ndani na kuna cafteria iko poa na sreen kubwaaaa ya kucheki mpiraaa kiko poa tu sana sasha