Arusha university msaada jamani

Arusha university msaada jamani

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
hello
eti tarehe rasmi ya kuripoti kwa first year ni ipi?? naomba msaada jaman
 
hello
eti tarehe rasmi ya kuripoti kwa first year ni ipi?? naomba msaada jaman

ngoja nikusaidie mie kuna jamaa yangu kachaguliwa hapo alipoidownload form inaonyesha kufungua chuo ni tarehe 29 september
 
ngoja nikusaidie mie kuna jamaa yangu kachaguliwa hapo alipoidownload form inaonyesha kufungua chuo ni tarehe 29 september

dah,asante jaman kwa kunisaidia,coz mdogo wangu hapa ananisumbua knyama
 
kama umepangwa arusha university mjipange na changamoto za usabato jamaa huwa hawa
 
Back
Top Bottom