yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,102
kuna mtu ameniambia leo ni siku ya nne tume ya ukusanyaji wa maoni ya katiba iko jijini Arusha lakini wamekuwa hawa tangazii watu sasa mimi najiuliza usiri huu wa nini nani anafaidika kwa kutokuwatangazia wananchi, mbona wakija ze komedi tuna tangaziwa kwa kila namna iweje kwenye swala hili nyeti linakuwa kimya kimya..