Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 753
- 1,812
Chanzi cha taarifawaandishi wa habari hao wakiwemo katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoani arusha(APC) JINA LAKE ANAITWA .MAGWANGI ANAYEANDIKIA GAZETI LA JAMBO LEO,OMARI MOYO(GAZETI RAIA MWEMA) NA ABRAHAMU GWANDU(MTANZANIA RAI) WANASHIKILIWA NA POLISI MJINI ARUSHA KWA KUTAPELI BAADA YA KUTAKA KUMTAPELI MUHINDI WA KIJIFANYA NI MAAFISA USALAMA WA TAIFA HABARI ZAIDI TUTAENDELEA KUWAJUZA.
Waandishi wa habari wakiwemo katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoani Arusha(APC) jina lake anaitwa Mawangi anayeandikia gazeti la Jambo Leo, Omari Moyo(gazeti Raia mwema) na Abrahamu Gwandu(Mtanzania Rai) wanashikiliwa na polisi mjini Arusha kwa kutapeli baada ya kutaka kumtapeli muhindi wa kujifanya ni Maafisa Usalama wa Taifa.
Habari zaidi tutaendelea kuwajuza.
Unawafahamu? Unaweza kutusaidia hapa profile zao? Mimi ninadhani kuna tatizo hata la uwasilishaji wa taarifa yenyewe. Iko nusu nusu sana kiasi kwamba hata kuichangia ni kutoitendea haki. Lakini jambo baya zaidi ni mleta hoja au taarifa yenyewe tayari ameishawahukumu waandishi hao kabla hata ya kufikishwa mahakamani!ukisikia waandishi makanjanja ndo hao. kubenea type
Wezi wakubwa, tena washtakiwe
Pole Sana wao Tu ndo wakosewe, us take niongee yaliyomo yamo, Kazi ipoUnawafaham mkuu? Unaijua source ya hii habari? Kwanini unawaita wezi elihali hujui kilichotokea? Unahukumu wewe ni mahakama?
Acha hbr hizo, wait until someone proved guilty
Watanzania tuwe na subira na busara katika mambo mbalimbali yanayo ripotiwa maana isije ikawa hili jambo lipo kisiasa zaidi.
Katapeli vipi...
Watu wana moyo jamani
Wezi wakubwa, tena washtakiwe