Wakuu habari nilizozipata hivi punde waandishi hao wameanza kuojiwa Toka saa nane mchana hadi sasa na huenda wakenda kupekuliwa hili kubaini mazambi yao zaidi.
Pia taarifa zilizobainika ni kwamba watuhumiwa hao walishawai kwenda kampuni ya leopard tours wakijifanya maufisa usalama hili wapatiwe pesa kutokana na kupatikana kwa nyara za serikali .
Pia mwandishi sefu mwangwangwi hivi karibuni alienda kumtisha Mkuu Wa chuo cha ufundi jijini Arusha tekiniko college ampatie shilingi milioni tano hili asimchafue kwenye gazeti Lake la jambo Leo.
Habari zaidi tutaendelea kuwajuza