Sasa wewe ni Kampuni ama ni mtu binafsi na hizo CV utakazotumiwa zinaelekezwa kwa nani ama watu watume tu? Maana umesema ni Kampuni lakini hujaitaja jina wala mahali ilipo.Tuma cv 0716176682
Jipange tena mkuuHyoo ni kwa mwez ila baada ya hapo wataangalia wenyewe kma wanaweza kuwaajili kuhusu jina la kampuni utaletewa mrejesho
Mshahara ni mapatano ila ni pesa nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeletaje Tangazo bila ya kujua jina la Kampuni na utasemaje Pesa ni nzuri wakati huo huo unasema mshahara ni mapatano. Yaani watu hawajapatana wewe tayari umeshajua kwamba itakuwa pesa nzuri?Hyoo ni kwa mwez ila baada ya hapo wataangalia wenyewe kma wanaweza kuwaajili kuhusu jina la kampuni utaletewa mrejesho
Mshahara ni mapatano ila ni pesa nzuri
umeonae ubabaishaji tu.Umeletaje Tangazo bila ya kujua jina la Kampuni na utasemaje Pesa ni nzuri wakati huo huo unasema mshahara ni mapatano. Yaani watu hawajapatana wewe tayari umeshajua kwamba itakuwa pesa nzuri?
MatapeliSasa wewe ni Kampuni ama ni mtu binafsi na hizo CV utakazotumiwa zinaelekezwa kwa nani ama watu watume tu? Maana umesema ni Kampuni lakini hujaitaja jina wala mahali ilipo.
Mshahara unalipwaje na kazi ni ya kimkataba ama ni ya kudumu?
Hayo mambo wakayafanye kwenye zile SMS zao wanazozituma kwenye simu za watu!Matapeli
Yaani hata jina la Kampuni halijui anawezaje kukudalalia kazi?Siku hizi tunadalalia hadi ajira za makampuni ya watu tusiowajua. Ukituma cv unadaiwa na mshahara wa mwezi mmoja. Hahahaaa