Mambo yanaonekana kuwa si shwari huko ndani ya Chama Cha Mapinduzi kama tunavyoaminishwa
Siku ya leo wanakijiji wa Mtaa wa Viwandani, Kata ya Unga Limited, wameonyesha kutoridhishwa na uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kumpitisha Rasuli Mshana kwenye kura za maoni
WanaCCM hao wamesema kwamba hawatakubaliana na kumpa kura za Ndio Rasuli Mshana, aliyeshinda kura za maoni, ikiwa jina lake halitatolewa kama mgombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Makada hao walisema kuwa mgombea aliyepitishwa sio chaguo lao kwa kuwa hawamfahamu badala yake walikuwa wanamtaka mgombea anayeitwa Richard Mbwambo ambaye ndio walikuwa wanamtaka.
Katika kueleza hisia zao, makada hao walifanya maandamano kuelekea ofisi za CCM Arusha Mjini.
Kwa hiyo kumbe wanaCCM wanaruhusiwa kuandamana kama hawajapenda matokeo ya uchaguzi lakini upinzani wametishiwa kutokuandamana iwapo hawatakubaliana na matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa kama alivyosema Albert Chalamila?

Unajua Mwendazake alichokifanya 2019 kimewavuruga na kuwaharibia sana hii 2024, wana hali mbaya mnoo, juzi hapa kitaa kwangu tulifanya hamasa wakati wa kurudusha barua za utambulisho kwa watendaji pamoja na kuchukua form za wagombea, Yaani CCM siku hiyo walikuwa kama wagonjwa wa homa kali.