Arusha: Wanafunzi Chuo cha Uhasibu kurudi chuoni kwa huruma za Wakuu wa Wilaya...

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527

My take:
Hivi wakuu wa wilaya wanahusiano gani na vyuo vya elimu na wanafunzi wa elimu ya juu? Kama sio njama ya kuwasumbua na kuwaletea shida wanafunzi.
 
only83
Ulitaka maombi yao yapitie kwa Lema? Wameonyesha utovu wa nidhamu watahukumiwa kwa kosa lao; Lema kawaingiza mkenge na awasaidie warudi chuoni. Wakuu wa wilaya ni sehemu ya serikali; wanasoma kwa kodi zetu ni jukumu la serikali kuhakikisha pesa zetu hazipotei; kama wanataka siasa waingie kwenye siasa
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
kuna siku nyny viongozi uchwara yatakwisha haya manyanyaso yenu
 
My take:
Hivi wakuu wa wilaya wanahusiano gani na vyuo vya elimu na wanafunzi wa elimu ya juu? Kama sio njama ya kuwasumbua na kuwaletea shida wanafunzi.

Hawa ni wanausalama wa chama cha magamba. Labda wanatakiwa waanze kufanya "mapping"

Kisichoeleweka hapo ni jinsi gani barua hiyo itamfikia mkuu wa chuo kupitia kwa mkuu wa wilaya. Basi ingepaswa kuandikwa:

Mkuu wa chuo
Box...
Arusha

Ufs: Mkuu wa wilaya
Wilaya ya Kililo
SLP 2013
 

Aaah chama, I know you can think beyond this bana acha kuniaibisha bana,
Tukiacha siasa pembeni hatua hii mimi binafsi naiona kama inaleta usumbufu usio wa lazima,
Kwa nini wasimalizie processes zote chuoni?

Je ni wangapi wanakaa maeneo ambayo wana access rahisi ya Mkuu wa Wilaya? Je ni wangapi watakaokwama kuwapa wakuu wao wa Wilaya na kusaini (kwa kuzingatia wakuu wa wilaya wana majukumu mengine na wakati mwingine wanazunguuka)

Je unadhani wakuu wa Wilaya watalisikiliza hili na kuli-impliment kirahisi hasa kwa kuzingatia wengine hawako chini ya Mamlaka ya Mulongo? Vipi ukienda kwa Mkuu wa Wilaya akakuambia hajui hiyo order na haifahamu na ukakosa Ushirikiano? Au ni order imetoka ofisi ya Raisi ambako wakuu wote wa Mikoa wana-report na hivyo kuweza kuituma hiyo order chini yao (kwa wakuu wa Wilaya)

Yako mengi ya kujiuliza before kuzungumzia mambo ya siasa za kina Lema n.k
 
Last edited by a moderator:

kodi zetu? Wewe ziro kabisa... UlukuVI unakusumbua.
 
Last edited by a moderator:

RED: Hapo sasa, bisha uone -unachuo, na ukikubali lazima uwataja vinara.
 
hao wa kwa muhasibu mkuu wa serikali mm ndo nawaonea huruma kabisa
 
na wale ambao wakuu wao wa wilaya hawaka wilayani
 

Hapo kweye Red, una hakika na unchokisema? Ni asilimia ngapi ya wanafunzi wanasomeshwa kwa kodi za serikali? No research no right to speak
 

Made in Tanzania
 

Even though you have to think critically not by USING LUKUVI'S BRAIN RIP CCM.
 
Last edited by a moderator:

My take:
Hivi wakuu wa wilaya wanahusiano gani na vyuo vya elimu na wanafunzi wa elimu ya juu? Kama sio njama ya kuwasumbua na kuwaletea shida wanafunzi.

Usumbufu wenu huo ni wa kipuuzi na mmeogopa kuwarudisha direct mkihofia kushtakiwa ndo maana mmewambia waombe upya ha ha ha janja ya serikali
 

ACHA UMBULULA WEWE! Sio wote tunasoma kwa kodi zenu! Nyie vipi! Mna uwezo wa kumlipia nani! Soma bango vizuri! Wanafunzi wawe wameshamaliza ADA! Wanalipiwa na nani. Kama ni serekali si walipie huko huko! Kama hujui uliza!
 
Last edited by a moderator:
Really? Well, CCM wajue hivi 2015 sio mbali. Warm-up match ni chaguzi za TAMISEMI 2014.

Too inept, JK's government.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…