Arusha: Wapi yanakopaki magari yanayouza Maji safi?

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
Ni wapi kwa Arusha yanakopaki magari (Malori) yanayotoa huduma ya kuuza maji masafi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani?
Au mwenye contact za hayo Magari aweke hapa
 
Nenda mitaa ya Majengo karibu na Kiwanda cha mafuta ya kula cha Sunola, hapo utayakuta hadi ya Mchanga na kazalika
 
mwingine ni matokeo anaishi sinoni ana carwash pia maeneo ya mtaa wa jaluo.
 
Asanteni sana Wakuu Chasha na Qsm hapo juu. Mna Idea kuhusu bei zao zikoje kwa lori moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…