Pre GE2025 Arusha watu walio wengi ni wasomi: Huyu hapa umeshajua nia yake kura 2025

Pre GE2025 Arusha watu walio wengi ni wasomi: Huyu hapa umeshajua nia yake kura 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Wananchi watapima, dawa watapewa, matibabu watapata ila KURA 2025 HAPANA, CCM ITULETEE MGOMBEA MWINGINE.

 
"Arusha watu walio wengi ni wasomi. Huyu hapa umeshajua nia yake kura 2025" - Hicho ni kichwa cha mada.

"Wananchi watapima, dawa watapewa, matibabu watapata ila KURA 2025 HAPANA, CCM ITULETEE MGOMBEA MWINGINE."
Hii ndiyo mada yenyewe inayoendana na kichwa cha mada!

Mkuu 'peno hasegawa' najua uwezo wako wa kupanga hoja, lakini hapa huenda umefanya maksudi kufanya mada iwe ngumu kueleweka, au huenda ulikuwa na mambo mengi akilini mwako kwa pamoja yakishindana ni lipi litoke kwanza.

Mimi nimeielewa mada yako, nilivyo penda kuielewa kivyangu, hata kama wewe hukunuia maana niliyoipata mimi.
 
Back
Top Bottom