Hii ndiyo mada yenyewe inayoendana na kichwa cha mada!
Mkuu 'peno hasegawa' najua uwezo wako wa kupanga hoja, lakini hapa huenda umefanya maksudi kufanya mada iwe ngumu kueleweka, au huenda ulikuwa na mambo mengi akilini mwako kwa pamoja yakishindana ni lipi litoke kwanza.
Mimi nimeielewa mada yako, nilivyo penda kuielewa kivyangu, hata kama wewe hukunuia maana niliyoipata mimi.