Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi, hakika leo historia imeandikwa, sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada.

Baada ya Mapokezi mazito ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, Jioni hii tena kuna Mkutano kabambe wa hadhara unaofanyika viwanja vya relini Jijini humo.

Tayari viwanja hivyo vimenona, Wananchi kwa maelfu wamejitokeza.

Hali ndio kama mnavyoiona.

FB_IMG_1677678643472.jpg
FB_IMG_1677678636906.jpg


Kwa vile leo wazungumzaji ni wengi, akiwemo Baba Askofu Mwamakula basi tutaweka, vipande vya hotuba vya kila msemaji kwa ufupi ufupi.

Kama kawaida Mtumishi wenu Erythrocyte nitawaletea yote kwa uaminifu mkubwa.

Usiondoke JF

==========
UPDATES

Sugu amemuomba Gambo ajenge nyumba mapema ili asije akarudi kwenye ghetto la ukoo Ilala.
 
Karibu tena Arusha mkimbizi wa madeni ya uchaguzi nadhani umeahamaliza kulipa fedha za watu ulizotumia kwenye kampeni ndo ukaona urudi Ila najua hujamaliza zote changisha makamanda umalizie deni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom