ARV Na Dawa Za TB zinatibu au zinachochea ugonjwa?

ARV Na Dawa Za TB zinatibu au zinachochea ugonjwa?

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,404
Reaction score
10,900
Nina mgonjwa wangu ambaye juzijuzi ndiyo imegundulika kuwa ana Upungufu wa Kinga pia Ana TB.Hospital ya kwanza waligundua kuwa ana Upungufu wa Kinga Na wakamuanzishia dawa katika Clinic yao.Baada ya hapo akaenda Hospital nyingine ikagundulika TB.Akapewa dawa Za TB.
Sasa tatizo ni kuwa kabla ya kugundulika magonjwa haya alikuwa anaugua mara Moja Na kupona tena sometimes kwa Panadol tu Bila shida yeyote.
Lakini alivyoanza tu kutumia ARV Na Dawa Za TB mgonjwa wangu kazidiwa yupo hoi,uzito unapungua kwa Kasi japo lishe anapewa ya kuridhisha.
Mgonjwa anapoteza kumbukumbu yaani hajielewi kwa chochote.Huwezi kuongea naye akakuelewa.
Hizi dawa zina shida gani japo Sasa madaktari wamesema astop kutumia ARV atumie kwanza dawa Za TB kwa Wiki mbili then ataendelea kwa pamoja na dawa Za TB.
Badala ya kurecover naona mgonjwa wangu anazidi kudhoofika kwa Kasi mno
Hii ni effect ya dawa au hofu?
 
ni sahihi km ulivyoelekezwa, atatumia dawa za kutibu Tb kwa wiki then baada ya hapo wanamwanzishia ARV (dawa za kufubaza virus)

yamkini mgonjwa wako kapata reaction kati ya dawa na respons ya kinga ya mwili wake (inaitwa IRIS)
 
Nina mgonjwa wangu ambaye juzijuzi ndiyo imegundulika kuwa ana Upungufu wa Kinga pia Ana TB.Hospital ya kwanza waligundua kuwa ana Upungufu wa Kinga Na wakamuanzishia dawa katika Clinic yao.Baada ya hapo akaenda Hospital nyingine ikagundulika TB.Akapewa dawa Za TB.
Sasa tatizo ni kuwa kabla ya kugundulika magonjwa haya alikuwa anaugua mara Moja Na kupona tena sometimes kwa Panadol tu Bila shida yeyote.
Lakini alivyoanza tu kutumia ARV Na Dawa Za TB mgonjwa wangu kazidiwa yupo hoi,uzito unapungua kwa Kasi japo lishe anapewa ya kuridhisha.
Mgonjwa anapoteza kumbukumbu yaani hajielewi kwa chochote.Huwezi kuongea naye akakuelewa.
Hizi dawa zina shida gani japo Sasa madaktari wamesema astop kutumia ARV atumie kwanza dawa Za TB kwa Wiki mbili then ataendelea kwa pamoja na dawa Za TB.
Badala ya kurecover naona mgonjwa wangu anazidi kudhoofika kwa Kasi mno
Hii ni effect ya dawa au hofu?
Helo kama mgonjwa wako ana Maradhi ya Ukimwi naTB pia anayo . Inawezekana anao ugonjwa wa TB tu kwani ukiwa na Maradhi Kifua Kikuu aka TB unakuwa na upungufu wa nguvu zako za kinga zinashuka sasa ukienda katika hizi hospitali zetu za hapo Bongo ukiwa na maradhi ya TB na ukipimwa kuangaliwa HIV utaonekana pia unao ugonjwa wa Ukimwi. kuweni makini sana na vipimo vya hospitali. Ukitaka nimtibu mgonjwa wako huo ugonjwa wa TB kwa muda wamiezi 3 tu akitumia dawa zangu atapona nitafute kwa wakati wako hata kama ana maradhi ya HIV ninaweza kumtibia akapona. Unaweza kunitafuta kwa mawasiliano email aka barua ya pepe email yangu ni fewgoodman@hotmail.com au waweza kunitafuta kwa facebook bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
au kama unayo What's App Account ni add kwa namba yangu hii hapa +90-534-450-81-69 tupate kuchat online.
 
Naomba soma kwa makini na uelewe hii concept, ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini, kinga ambayo ndio hupambana na magonjwa, hivyo basi kinga hii ikipungua unaweza pata infection na isioneshe dalili maana kitendo cha kuugua ni mwili unapopambana na ugonjwa so huyu mtu inawezekana kabisa ata hiyo TB anayo toka muda ila kinga yake ilikua chini ndomana dalili hazikuonekana, kitendo cha kuanza ARV maana yake unaipandisha kinga ya mwili kwa ghafla hivyo magonjwa yote ambayo yalijificha kinga ikiwa chini yanaibuka kwa pamoja, ndomana ARV inasimamishwa kwa muda ili kuzuia mwili kupandisha kinga na kujarib kupambana na magonjwa mengi zaidi, nawasilisha.
 
Helo kama mgonjwa wako anao Maradhi ya Ukimwi naTB pia anayo . Inawezekana anao ugonjwa wa TB tu kwani ukiwa na Maradhi Kifua Kikuu aka TB unakuwa na upungufu wa nguvu zako za kinga zinashuka sasa ukienda katika hizi hospitali zetu za hapo Bongo ukiwa na maradhi ya TB na ukipimwa kuangaliwa HIV utaonekana pia unao ugonjwa wa Ukimwi. kuweni makini sana na vipimo vya hospitali. Ukitaka nimtibu mgonjwa wako huo ugonjwa wa TB kwa muda wamiezi 3 tu akitumia dawa zangu atapona nitafute kwa wakati wako hata kama ana maradhi ya HIV ninaweza kumtibia akapona. Unaweza kunitafuta kwa mawasiliano email aka barua ya pepe email yangu ni fewgoodman@hotmail.com au waweza kunitafuta kwa facebook bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
au kama unayo What's App Account ni add kwa namba yangu hii hapa +90-534-450-81-69 tupate ku cha online.
Acha kupotosha umma wewe....huyo mchangiaji aliyesema IRIS ndio sahihi....kuwa makini na afya za watu....ingia Google soma kuhusu IMMUNE RECONSTITUTION INFLAMMATORY SYNDROME (IRIS) utaelewa!
 
Acha kupotosha umma wewe....huyo mchangiaji aliyesema IRIS ndio sahihi....kuwa makini na afya za watu....ingia Google soma kuhusu IMMUNE RECONSTITUTION INFLAMMATORY SYNDROME (IRIS) utaelewa!
Amesema yeye mwenyewe kuwa anatibiwa magonjwa 2 kwa wakati mmoja nimemshauri aache kutumia dawa za kurefusha maisha dawa za ARV atumie dawa za kutibu ugonjwa wa Kifua kikuu aka TB.Hizo dawa za kurefusha maisha ARV hazitibu bali zinakuzidishia maradhi mengine na ukiziacha kuzitumia ndipo unaweza kufa gafla na kudhoofika kwa haraka kwani dawa za ARV sio dawa nzuri kutumia kwa binadamu.Wapi sasa nilipo potosha mimi? nimetoa ushauri wangu ndio nimepotosha kitu gani?kama hauna kitu cha kusema bora unyamaze kimya kuliko kuropoka kama unaelewa na wewe changia mawazo yako si kuleta maneno yako ya pumba hapa jukwaani. Hapa jukwaani kama unayo elimu changia acha kulaumu laumu ovyo pasipo na elimu .
 
Dawa na Hofu ndiyo sababu...!

Kama alikuwa anameza panado anapona ninn kimewafanya kwenda kupima vitu visivyo eleweka?
Alivyougua kwa Mara ya mwisho alivyofika hospital madaktari hawakupata ugonjwa gani anaumwa Ila akawa analalamika kichwa Na shingo kukaza.Nadhani kwa utalaam wao wakashauri apime pia HIV.Toka siku hiyo alivyopima HIV hajawa vizuri mpaka Leo.
 
Naomba soma kwa makini na uelewe hii concept, ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini, kinga ambayo ndio hupambana na magonjwa, hivyo basi kinga hii ikipungua unaweza pata infection na isioneshe dalili maana kitendo cha kuugua ni mwili unapopambana na ugonjwa so huyu mtu inawezekana kabisa ata hiyo TB anayo toka muda ila kinga yake ilikua chini ndomana dalili hazikuonekana, kitendo cha kuanza ARV maana yake unaipandisha kinga ya mwili kwa ghafla hivyo magonjwa yote ambayo yalijificha kinga ikiwa chini yanaibuka kwa pamoja, ndomana ARV inasimamishwa kwa muda ili kuzuia mwili kupandisha kinga na kujarib kupambana na magonjwa mengi zaidi, nawasilisha.
Dah hapa nimepata kuelewa
 
Back
Top Bottom