Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Wizara ya Afya imewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi uliokuwa ukiendelea kuhusu uhaba wa ARV kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na Rais Trump hivi karibuni ya kusitisha misaada kwa siku 90 kupitia shirika lake la USAID.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Wizara imesema dawa hizo haziuzwi, inatolewa bure na kwamba zipo za kutosha hivyo watuamiaji wa dawa hizo hawana haja ya kuingiwa na hofu juu ya upatikanaji wake.
Wizara ya Afya Tanzania
=====
Pia soma: DOKEZO - √ - Wizara ya Afya Ingieni kazini. Kuna wahuni wanatengeneza janga la lazima, ARV zitaanza kuuzwa muda Si mrefu!

Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika
Wakuu, Utawala mpya wa Rais wa Marekani Donald Trump umesitisha na kuzuia misaada ya kimarekani kwa nchi za kigeni. Marco Rubio ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameripotiwa kutuma barua kwenye balozi zote duniani kusitisha miradi ya maendeleo ambayo inafadhiliwa na Marekani ndani...