ARV

ARV

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
905
Reaction score
1,002
Dawa za ARV za siku hizi naziona kama zinakauchachu fulani hivi.
Vipi nyie wakuu mwazionaje?
 
Duuuuuuh polen wote mnaotumia. Na pia hongeren kwa kuwa wazi. Kwa upande wangu sijui hata zilivyo
 
Subiri wahusika waje utapata majibu mkuu.... Wengine tunatumiaga marafin[emoji17]
 
Ukiona hivyo unachukua ndimu ya kichina¼ kijiko unachanganya na sukari kijiko cha chai unatia chumvi vijiko2 unaongeza na jivu⅛ ya sukari ili kuongeza radha ukinywa hutaacha dadeki kila ukipewa arv zako unajifungia chumbani unatengenez ingredients zako unjinywea kwa pozi
Dawa za ARV za siku hizi naziona kama zinakauchachu fulani hivi.
Vipi nyie wakuu mwazionaje?
 
Kweli kabisa, hasa ukinywa na konyagi. 🙊🤤
 
Pole sana Mkuu,hujafa hujaumbika na kama bado unaishi lolote laweza kukupata katika safar ya maisha,nashangaa wanaoleta dhihaka!
 
Pole sana Mkuu,hujafa hujaumbika na kama bado unaishi lolote laweza kukupata katika safar ya maisha,nashangaa wanaoleta dhihaka!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyo mleta mada ndiye mwenye dhihaka ni kwa hujawahi kuona sms hiyo ikisambaa.
 
Back
Top Bottom